Kozi za udereva nit 2020

Furaha anasema baba yake aliwahi kumwambia kuwa hataweza kupambana barabarani na madereva wanaume lakini yeye alimhakikishia kuwa amesoma vizuri kozi ya udereva katika Chuo cha Veta Morogoro na kupata leseni hivyo haoni changamoto ya kumfanya ashindwe kuendesha magari au bajaji.

Wakati baba yake akionesha wasiwasi, anasema mama yake, Esther Matangoo alimtia moyo wa ujasiri akimwambia asiwe na wasiwasi kwani kazi hiyo ataiweza sawa na ilivyo kwa wanaume.

4 free web proxy

Mbali ya wazazi wake kumpa moyo wa ujasiri, baadhi ya majirani zao wana mtazamo tofauti baadhi wakimshangaa kwa kitendo chake cha kuendesha bajaji ya kubeba abiria sawa na madereva wanaume. Kwa mujibu wa Furaha, maisha ni mchakato na mafanikio ya binadamu yanatokana na kufanya kazi kwa bidii ili kujipatia kipato cha kujikimu kimaisha.

Anasema tangu alipokuwa akisoma shule ya msingi ndoto yake ilikuwa ni kusomea udereva ili aweze kupata kazi ya kuendesha magari ya watalii nchini. Furaha na wazazi wake ni wakazi wa Bigwa katika Manispaa ya Morogoro. Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Mgolole hadi mwaka na baadaye elimu ya sekondari kutoka kidato cha kwanza hadi cha nne katika shule ya Sekondari Lupanga kutoka mwaka hadi mwaka Anasema baada ya kumaliza elimu ya sekondari alichagua kusoma masomo ya Utalii Chuo cha Utalii cha Arusha lakini kabla ya kujiunga, alihamishiwa Chuo cha Utalii cha Serikali kilichopo Dodoma.

Baada ya kukosa fursa hiyo ya masomo, Furaha anasema aliamua kuchukua kozi ya awali ya udereva Chuo cha Veta kilichopo Kihonda Morogoro kwa muda wa mwezi moja, yaani Januari mwaka Anasema Veta Kihonda alifundishwa kuendesha magari madogo, pikipiki na bajaji na kupatiwa leseni ndogo ya udereva.

Baada ya kumaliza kozi hiyo alibaki nyumbani kwa miezi miwili na kufanya kazi ya ujasiriamali ya usambazaji chakula katika ofisi mbalimbali za mjini Morogoro ili kujipatia kipato.

Anasema alifanya kazi hiyo kwa miezi minne kabla ya kuacha alipoona haimpi faida na inamchosha. Furaha anasema, kwa kuwa tayari alikuwa na leseni ya udereva ya kuendesha magari madogo, pikipiki na bajaji, alimtafuta dereva mzoefu wa bajaji ya kusafirisha abiria ampe mbinu za kufanya kazi hiyo.

Furaha anasema alimpata Elias Myungile aliyempa mbinu na uelewa wa kuendesha abiria na kuzoea barabara na changamoto zake kitendo kilichompa uzoefu zaidi na kufanya aweze kufanya kazi hadi leo. Anasema, baada ya kupatiwa maelekezo na dereva mzoefu, alifanikiwa kupata bajaji yake ya kwanza baada ya kuingia makubaliano na mmiliki wa bajaji ili awaze kuanza kazi. Hata hivyo, Furaha anasema hakudumu sana na bajaji kwani aliugua kwa muda na hivyo kushindwa kabisa kuendelea na kazi hiyo na aliporejea alikuta tayari mmiliki wake amempatia dereva mwingine.

Anasema kutokana na kufahamika kwake alipata mmiliki mwingine aliyempatia bajaji afanye biashara ya usafirishaji wa abiria na hadi sasa anaendelea na kazi hiyo na ametimiza miezi nane tangu arejee. Furaha anabainisha lengo lake ni kutimiza ndoto yake ya kusoma zaidi kozi ya udereva aweze kupata leseni kubwa itakayomwezesha kupata kazi ya kuendesha magari ya viongozi au mabasi ya mikoani.

Furaha anasema kwa kuwa yeye ni dereva pekee mwanamke wa bajaji ya kubeba abiria, alipoanza kazi alikabiliwa na changamoto nyingi kutoka kwa baadhi ya madereva wanaume na abiria hasa wanaume. Furaha anasema wanapochukua namba ya simu kwa ajili ya shughuli za kazi yake ya bajaji, baadhi ya wateja walikuwa wanageuka na kumpigia simu si kwa ajili ya kutaka usafiri na kuingiza masuala ya mapenzi, changamoto ambayo anaendelea kupambana nayo na kuwapotezea wateja wanaombugudhi.

Wapo wanaume walinifuata hadi kwenda kwa wazazi wangu kutaka wanioe, nimekataa. Kwanza, nahitaji kujenga maisha yangu yasiyo na utegemezi kwa mtu yeyote.

Nategemewa na familia yetu. Anasema wazazi wake wana umri mkubwa na hawawezi kufanya kazi hivyo wanamtengemea na ana wadogo zake watatuwawili wanasoma shule ya msingi na mmoja amemaliza elimu ya kidato cha nne. Furaha anaeleza kisa kimojawapo ambacho bado anakikumbuka alipokuwa akitekeleza shughuli yake ya kusafirisha abiria kwa bajaji siku za mwanzo ni kutokuwa na uelewa wa aina ya mavazi akiwa kazini.

Anasema askari huyo alimuuliza kwa nini anaendesha bajaji ya kusafirisha abiria akiwa amevaa sketi wakati sheria inakataza kwa mwanamke ikimtaka kuvaa suruali anapoendesha usafiri huo au pikipiki.

UDEREVA NI NINI? ( What is Driving? )

Anasema askari huyo alimfahamisha anapoendesha bajaji au pikipiki avae suruali siyo gauni au sketi. Anasema jambo hilo lilikuwa elimu tosha kwake na tangu siku hiyo amekuwa akivaa suruali isipokuwa kama yuko nyumbani baada ya kazi anakuwa dada na mwanamke anayezingatia uvaaji sketi na gauni.

Kuhusu kazi ya udereva, Furaha anasema ni nzuri na inahitaji ustadi na uzoefu mkubwa, lakini pia inahitaji mtu kuwa na mtazamo sahihi na ustadi unaofundishwa na mwalimu darasani na kwa vitendo. Kwa kutambua umuhimu huo, anasema, akiwa barabarani anafuata sheria zote za usalama barabarani, anakwenda mwendo wa kawaida jambo lililomwongezea imani kwa wateja wanaomkodisha na utaratibu wa zamu kwenye kituo chao kilichopo pembezoni mwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro.

Furaha anasema amekuwa mwaminifu kwa bosi wake, mmiliki wa bajaji kwa kuwasilisha kila siku kiwango walichokubaliana na makusanyo yanapokuwa yamepungua mmiliki hukubaliana na hali halisi.We are delighted that you have decided to undertake your studies at the National Institute of Transport or considering to do so.

This website describes the range of our courses and different activities done at the university which will give a flavor of life on our campus. Rector's Welcome Note. National Institute of Transport offers Certificate, Diploma, Bachelor, postgraduate as well as Masters programmes to students from Tanzania and throughout the world. Our programmes will enable you to rise to the top of your chosen profession.

The Journal of Logistics, Management and Engineering JLMES strives to become the foremost international forum for practitioners, teachers, researchers and policy makers to share their knowledge and experience in logistics in developing countries. This bureau streamline and efficiently coordinate consultancy, contracted research and public services activities at the strategic position with experts in Logistics, Information Communication Technology, business management, social work, sociology, political science, education, community economic development and law.

Rector's Note. Rector's Welcome Note Prof. Zacharia Mganilwa Rector. Latest News. Academics National Institute of Transport offers Certificate, Diploma, Bachelor, postgraduate as well as Masters programmes to students from Tanzania and throughout the world. Consultancy This bureau streamline and efficiently coordinate consultancy, contracted research and public services activities at the strategic position with experts in Logistics, Information Communication Technology, business management, social work, sociology, political science, education, community economic development and law.

Box Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide.

Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers. Naomba kujua kozi ya usafirishaji Relini utaratibu upoje kwa gharama na namna ya kuisoma. Kuwa mstaarabu Chuo cha Usafirishaji nchini, NIT, kimepewa changamoto ya kuukabili upungufu mkubwa wa watalaamu waliobobea kwenye taaluma ya uchukuzi na usafirishaji ili pato la sekta hiyo lichangie katika kukuza pato la taifa na mchango huo uchangie kuinua uchumi wa nchi yetui.

Changamoto hiyo, imetolewa leo na Waziri wa Uchukuzi, Mhe.

Ford focus windscreen washer fuse location full

Omari Nundu Mb. Waziri Nundu. Amesema, Tanzania imezungukwa na mataifa mengi yalifungiwa land locked hivyo sekta ya usafiri na ushafirioshaji ni sekta muhimu sana kwa uchumi wa taifa, ila mpaka sasa mchango wa sekta ya uchukuzi na usafirishaji katika pato la taifa ni mdogo ukilinganisha mahitaji halisi, na kutolea mfano mwaka sekta hii ilichangia asilimia 7.

Nae mwenyekiti wa baraza la udhamini la chuo hicho, Bibi, Prisicilla Chilipweli amesema chuo chake kimeshaanza kuzifanyia kazi changamoto hizo kwa kubuni kozi mpya zinazohitajika katika soko la ajira hivyo kuwataka Watanzania wachangamkie fursa hizo huku akizitaka taasisi mbalimbali kuwafadhili watumishi wao au kuwadhamini Watanzania kusomea fani hizo ambazo sasa zinatolewa nchini kwa gharama nafuu.

Zacharia M. Mganilwa Alizitaja kozi mpya kuwa ni. Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kilianzishwa mwakachini ya lililokuwa shirika la uchukuzi la Taifa NTCkwa madhumuni ya kutoa huduma za kitaalamu kwa makampuni tanzu yaliyokuwa chini ya shirika hilo. Baadaye kupitia sheria ya bunge Na. Kwa sasa Chuo kipo chini ya Wizara ya Uchukuzi. Mshirikishe mwenzako:. Michuzi Blog Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide.

Kuna Maoni 1 mpaka sasa. Unknown September 17, Subscribe to: Post Comments Atom.Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. About Advertise Careers Contact.

kozi za udereva nit 2020

Home Education. Related posts. Offers Tailoring Courses for girls. Offers Motor Vehicle mechanics training for two years.

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA UDEREVA - NAFASI 2

Offers Tailoring Courses for girls and related subjects for domestic science. Offers Short course in Tailoring and embroidery for both male and female. City Center of Commerce. Zanaki Street Plot No. Offers Typewriting training. Chisalu FDC P. Offers Courses in Carpentry, Bricklaying and Tailoring. Hanga Trade School. Ilembura Nurses and Midwives Training School.

Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Usafirishaji

Offers Courses in General Nursing and Midwifery. Offers Courses in Masonry, Carpentry and Tailoring. Offers Theology course. Offers Courses in Tailoring and Cookery, Mechanics i. Carpentry, Masonry and Building, Plumbing and Painting. Offers course in Tailoring for Masai girls.Human resource is an ankle and significant factor in public service delivery, thus, PSRS has been given a role of recruiting public servants in fair, transparent, and timely manner; while observing and guaranteeing quality and access to all applicants in order to deliver equitable Public Service in Tanzania.

Nmea display

Our aim is to improve government public Service on issues concerning recruitment process According to our rules and regulations and at the same time enhance good relations with Our stakeholders. Ndugu, Husika na kichwa cha habari hapo juu chajieleza. Mimi ni kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 32, Elimu yangu ni kidato cha nne na pia nmesoma chuo cha NIT nina uzoefu wa kutosha kwenye udereva ninao uwezo wa kuendesha magari madogo na magari makubwa pia ninao uwezo wa kuendesha ndani ya nchi na nje ya nchi.

Jobs in Tanzania – latest Jobs Today in Tanzania April 2020 [#DailyUpdates]

Matumaini yangu kuwa ombi langu litakubaliwa, Wako mtiifu katika ujenzi wa Taifa E. N, Naitwa jonathan emanuel katto nimesoma veta udeleva na ufudi wa umeme magali ninauzoefu wa miaka minne na pia nimemaliza kidato cha nne. About unistoreTZ Media Articles.

Blocco euro3 dal primo ottobre

Unistoretz is the innovative education platform, distinguished as a fully-fledged digital lifestyle branding which provides studying materials for students and Opportunities. Copyright to the materials remain with the actual owner of the content.PSRS was established to facilitate the recruitment process on behalf of the Government. The Amendment Act No. The PSRS will enable Ministries, Independent Departments and Agencies, Regional Secretariats, Local Government Authorities and other Public Institutions to acquire human resources with relevant competencies by adhering to principles of fairness, impartiality, transparency and meritocracy in the public service of Tanzania.

It is therefore expected that, by adhering to the above principles; the public service in Tanzania will be of high standard and hence contribute to the growth of the national economy in line with the Vision Naitwa Ally Khalfani mzaliwa Dar es salaam nachukua fursa hii kuomba kazi ya udereva nikiwa na uzoefu wa miaka takriban minane 8 niko na leseni class A B D na E ila tu sikubahatika kupita veta niko na cheti cha chuo cha kawaida tu!

kozi za udereva nit 2020

Kwa majina naitwa Olivarsi Alberti Silayo mzaliwa wa Kilimanjaro na kwa sasa naishi Dar-es-salaam Nachukua nafasi hii kuomba kazi ya udereva,ninauzoefu wa hii kazi ya udereva kwa muda mrefu tangu mwaka hadi sasa na nimesomea udereva katika chuo cha usafirishaji NIT Arusha na leseni yangu ni daraja c1,c2,c3,D,naE hivyo naomba kazi.

Naitwa Hassan juma nipo dodoma naomba kazi ya udereva kwani nitaifanya kwa moyo wangu wote nimehitimu kidato cha nne na kujiunga na chuo cha veta pia ninauzoefu nayo nina lessen class e yenye daraja A, A2,B,C1,C2,C3,D,E,F,G Nahaidi kufanya kazi kwa moyo wote wako mtihifu Hassan Juma Naitwa juma said kitelebu, Ninaumri wa miaka 30,Elimu yangu ni ya msingi. Nimesoma motor vehicle mechanics na Driving Nina vyeti.

Naomba kazi ya udereva kwani ninauzoefu wa udereva na ufundi kwa muda mrefu. Naamini maombi yangu yatapokelewa Ashanti. Kwa majina naitwa Ramadhani amri said mzaliwa wa Zanzibar naitaji kazi ya udereva.

Online mask creator

Naomba kuuliza je kwa aliye maliza kidato cha NNE na alifeli lakini amesomea ufundi magari miaka 2 na udereva je analuhusiwa kuomba kazi. Naitwa juma Mohamed nakaa tanga mjini nimemaliza kidato cha nne mwaka nanimesomea udereva ninachet cha udereva na leseni ya udereva A, B, D, C1,C2,C3,E naombeni nafasi ya kazi.

Com iliyopo Mwanza nimeitim kidato cha nne Mwaka hivo naomba kazi wako mjenzi Adam Peter asantee. Naitwa Jonas Singano nina umri wa miaka 24 nimekulia arusha lakini kwa sasa niko daresalaam nimehitimu kidato cha nne ni dereva niliyepitia mafunzo ya udereva katika chuo kinachotambulika na serikali na nina leseni class A B D E F G. Pia ni muhitimu wa veta katika fani ya umeme wa magari auto electric katika daraja la tatu. Nachukua fursa hii kuomba kazi ya udereva kwani najiamini na uwezo ninao.

Natumain ombi langu litakubaliwa Ahsante E. Robert Phone number. Moshi Naitwa Twaha Ally Nkalami nipo Handeni-Tanga naomba nafasi ya udereva kwani ninauzoefu wa kuendesha magari zaidi ya miaka mitano mjini na vijijini nilisomea chuo cha ufundi Hale driving training collage kilichopo Tanga mjini mwaka A Nkalami Elimu yangu ni kidato cha nne.

Naomba kazi ya udereva. Naitwa Emmanuel nimemaliza secondary mwaka na kujiunga na chuo cha ufundi wa magari mwaka na kumaliza level 3 nilisoma kozi ya udereva wa magari VET songea c1 c2 c3 na d ninauzoefu wa kutosha.

Naitwa Said Abdallah, nina umri wa miaka 29, ninaomba kazi ya udereva. Lesen yangu ni daraja E, na nina uzoefu wa zaidi ya mwaka mmoja bila kusababisha ajali.Below are the List Of All job vacancies which you can apply either by Letter,Online and by Email please Read Job description before apply a certain vacancy:.

Natafuta kazi ya ualimu wa primary na uzoefu wa kufundisha na cheti Cha mafunzo ya ualimu ninacho. Kwa mawasiliano zaidi daudimakenji14 gmail.

Naitwa Irene Joseph chale natafuta kazi ya ualimu idara secondary masomo ya Sanaa kiswahili na history namba ya Simu au Naitwa Michael A Shirima natafuta kazi ya udereva magari makubwa ya mizigo na madogo nipo, nina lean leseni na vyeti vya ufundi magari naishi Dar namba zangu na Hello I am Esther Christopher 25 years old girl am looking for a job in medical laboratory sciences my phone number Naitwa Ally Hamis Ramadhan natafuta kazi ya ualimu shule za msingi nafundisha masomo yote hasa Hisabati, sayansi Na English.

Natafuta kazi ya msaidizi wa afya ngazi ya certificate Niko tayari kufanya kazi katika mazingira yoyote …. Naitwa Damiano Makaka. I am a clinical officer and looking for a job at any institution where vacancies might appear.

VYUO VYA UFUNDI TANZANIA | vyuo vya veta Tanzania

Natafuta kazi Ya Msaidizi Mtunzaji wa Kumbukumbu ngazi ya cheti. Nimesoma chuo Cha Utumishi wa Umma kampasi ya Dar es salaam. Nipo tayari kufanya kazi Mkoa wowote hapa Nchini. Namba yangu Ni Natafuta kaz ya ualimu ngaz ya shule za msingi pia Nina uzoefu wa miaka miwili kwa shule za English medium, elimu yangu ni certificate in primary. Naitwa consolata njovu Natafuta kaz ya microfinance management,Nina chet cha Diploma na pia nlisomea human resources management Nina certificate.

Naitwa Ibrahim S. Salum natafuta kazi ya udereva wa gari za mizigo au ndogo umri miaka 44 naishi dar lisence yangu ina madaraja A A2 B D E Namba za simu, Naitwa rachel zakaria ni mhtimu wa ngazi ya degree katika chuo kikuu cha SUA natfta kazi ya uwalim wa masomo ya biology na geography.

Naitwa balbina uledi ni mhitimu wa ngazi ya degree ya ualimu chuo kikuu Ruaha natafuta kazi katika kamluni yoyote binafsi. Naitwa agnes mlowe nina diploma ya secretry na nina certificate ya hotel management natafuta nafasi ya kazi no Naitwa Agnes moris jagadi natafta kazi ya utendaji wa kijiji nina level five ya mipango na maendeleov vijijini.

The most forbidden places

Naitwa Figenia valence nina elimu ya maendeleo ya jamii ngazi ya diploma naomba kazi ya kimaendeo ya jamii. Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.

Naitwa mohamudu abasi natafuta kazi ya udereva leseni class c2 namba zang Natafuta kazi ya udokta mifugo no yangu hii yeyote anaesikia Kuna kazi anicheki.

Natafuta kazi ya udereva uzoefu miaka 6 leseni class c2 popote nafanya kazi. Natafuta kazi yyt ile ila na certificate ya procurement kwa mawasiliano Naitwa angel natafuta kazi ya secretary au reception ninaishi dar.

kozi za udereva nit 2020

Namba yangu Ni Ni Matumaini yangu Ombi langu litajibiwa. Am diana charles mmasi am looking for a job laboratory technician in secondary school. Natafta kaz ya uafisa ugavi na ninauzoefu wa kuhusu manunuzu ya uma na binafSi. Natafta Kaz elimu yang Ni shahada ya ualimu na sanaa. Leave a Reply Cancel reply Your email address will not be published.


thoughts on “Kozi za udereva nit 2020

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Theme: Elation by Kaira.
Cape Town, South Africa